Friday, July 5, 2019

Historia ya uandishi wa Qurani

Kwa mujibu wa Uislamu, imeteremshwa na Mwenyezi Mungu kupitia Jibril mmoja wapo wa Malaika wakubwa wenye heshima kubwa huko mbinguni. Qurani iliteremka kwa njia ya Wahyi au Ufunuo katika muda wa miaka 23 ya utume wa Muhammad
Soma zaidi